Thursday, 23 April 2026

Wahangaika Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Wahangaika Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Wahangaika na mambo ya dunia,

Yote yapita yapita haraka

Twakaribia kuona mambo mapya,

Vuta subira kitambo yaisha.


Refrain

Yote yanapita hayatakumbukwa,

Yote yanapita hayatakumbukwa

Yote yanapita hayatakumbukwa,

Yote yanapita tafuta wokovu.


2. Yapo mengi uliyokwisha yaona,

Yapo makubwa uliyosikia

Yametoweka hayakumbukwi tena,

Neno la Bwana ladumu milele.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 25, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...