Tuesday, 5 May 2026

Kelele Kasika (Nataka Niwe Pale) Lyrics sung by Bala Pharez

Kelele Kasika (Nataka Niwe Pale) Lyrics sung by Bala Pharez

 

1. Kelele kasika mawinguni, Ni mfalme yeye ajaye tena

Sitamnyima maisha yangu, Kwani nataka niwe pale

 

Refrain

Nataka nami niwe pale, Nataka kuishi huko juu

Kwa sababu alitufilia, Msalaba nami niwe pale

Alikufa kwa ajili yangu, Mdhambi niwe huru kwake

 

2. Itakuwa ni shangwe tele, Tukiingia mbinguni kwa Baba

Washindi wote watafurahia, Wadhambi wataomboleza

 

3. Jikane nafsi ili twende kwake, Ya dunia yanapita haraka

Ya mbinguni ya dumu siku zote, Uzima na amani tele.

 

Notes (Grammatical sense)

Chorus, Line 2, Phase 1 & Chorus, Line 3, Phase 2: Kwa sababu alitufilia...Wadhambi tuwe huru kwake. OR; Kwa sababu alinifilia…Mdhambi niwe huru kwake.

 

Bala Pharez.

 

Bala Pharez, SDA Swahili Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...