Wednesday, 4 September 2024

Nafahamu Kwamba Yesu Atarudi Lyrics sung by The Golden Gate Choir

 Nafahamu Kwamba Yesu Atarudi Lyrics by The Golden Gate Choir.


1. Nafahamu kwamba Yesu atarudi hapa duniani

Atawafufua watu kwa uwezo wake na heshima


Chorus

Nafahamu Yesu yu hai atarudi duniani

Nafahamu nitafufuka Nimuone Yesu wangu


2. Kweli ahadi za Yesu wangu ni za kweli (hazishindwi)

Kifo kikikaribia nitamuona Yesu mbinguni 


3. Amenitayarishia makao mbinguni kwake Mungu

Hilo hunifurahisha ninapokumbuka atarudi.


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...