Wafilisti Lyrics by The Golden Gate Choir

Wafilisti Lyrics by The Golden Gate Choir


1. Wafilisti walimwamini bingwa yule jemedari

Goliathi aliwatisha watu wote duaniani

Daudi pekee akajitokeza akasimama pale na jiwe

Kwani yeye alimwamini Mungu wa majeshi


Chorus

Kamwendea kwa Imani, akachanga mkombeo

Jemedari akadharau, akasongea kwa Imani

Akimwamini Mungu ngao yake

Akachanga mkombeo, akachanga mkombeo

Bila hofu moyoni mwake

Alimpiga kaanguka Mungu ana uwezo


2. Sauli alikuwa ameelewa Shetani amemushinda

Wafilisti wameingia kwa nguvu za kijeshi

Sauli akasema, "Enyi ndugu ni nani aliye na nguvu?"

Daudi pekee akajitokeza kwa kumuamini Mungu


3. Alimpiga kaanguka, Watu wote wakakimbia

Mkono wa Mungu uliinuka, Kafa kama mbwa

Aliabudu sanamu tupu basi sasa hawezi muokoe*

Ni ajabu kwa mtu shujaa kufa kama mbwa


4. Njooni nyote tumuabudu Mungu anayeweza yote

Tuyashinde maovu ambayo hushinda hata bingwa

Daudi mtoto alisimama akatumia mkombewa

Tusimame na Mungu Baba ndiye ana nguvu.


The Golden Gate Choir.

*tupu basi sasa hawezi muokoe - Not very clear.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Damu Yake Lyrics sung by The Golden Gate Choir

Nyosha Mkono Wako Lyrics sung by Nyandema SDA Choir