Monday, 2 September 2024

Siku Ambayo Yesu Alifufuka Lyrics by The Golden Gate Choir

Siku Ambayo Yesu Alifufuka Lyrics by The Golden Gate Choir


1. Siku ambayo Yesu alifufuka Shida ilitokea

Kote ulimwengu katetemeka Kwa kumuona Yesu


Refrain

Sikia, Sikia!

Wote walitetemeka wakajazwa na hofu nyingi

Viongozi wote na makuhani kamwamini Yesu


2. Malaika shuka toka mbinguni Akatoa jiwe

Asikari ambayo walimchunga Wakaanguka chini


3. Mitume walipofika kaburi Ilikuwa tupu

Mavazi ambamo walimuzika Yamewekwa kando


4. Sasa Yesu aita wana watubu, "Njooni nyote kwangu"

Ni sauti ambayo inavutia Inayosikika.


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics


1 Wakorintho 15:55 “Kuko wapi Ewe mauti kushinda kwako? Uko wapi Ewe mauti uchungu wako?”

1 Corinthians 15:55 O death, where is thy sting? O grave, where is thy victory?

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...