Thursday, 31 October 2024

Msalabani Pa Mwokozi sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA

Msalabani Pa Mwokozi sung by Cherubim Singers, Nairobi South SDA

1. Msalabani pa Mwokozi Hapo niliomba uzima,

Moyo wangu ulitakaswa, Na asifiwe


Refrain

Na asifiwe, Na asifiwe, (Na asifiwe)

Alinikomboa kwa damu yake, Na asifiwe


2. Chini ya mti msumbufu Hapo niliomba amani,

Alinikomboa kwa damu, Na asifiwe


3. Damu ya Yesu ya thamani Huniokoa dhambini;

Huniendesha wokovuni, Na asifiwe.


Cherubim Singers, Nairobi South SDA.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...