Friday, 1 November 2024

Kuna Mji Lyrics sung by The Gospel Train

Kuna Mji Lyrics sung by The Gospel Train

1. Kuna mji kwa watakatifu wote

Kuna makao kwa wataoshinda dhambi

Kuna taji kwa wateule wote

Ndugu yangu usikose pale


Refrain

Ndugu amka Yesu akuita

Kwake kuna maji ya uzima

Tumaini la vizazi vyote


[Ooh ni Shangwe!]


Shangwe tutaimba Haleluya

Tukiwa naye Yesu (Yesu)

Haleluya! Bwana asifiwe


2. Baba yangu mimi ninakuomba

Unikumbuke kwenye utukufu wako

Nitakusifu kwenye mji ule mpya

Yerusalemi sasa na hata milele.


The Gospel Train, Kenya.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...