Sunday, 10 November 2024

Mungu ni Muumba Lyrics sung by The Gospel Train

Mungu ni Muumba Lyrics sung by The Gospel Train


1. Mungu ni muumba wa mwili wangu

Namtukuza mimi hekaluye

Naogopa nisipomcha Mungu

Aweza kuja kuniadhibu


refrain

Kichwa changu, tumbo langu

Miguu yangu ni ya Mungu

Macho yangu na mikono yangu

Roho yangu mwili wote


2. Miaka mingi mimi sikutambua

Mwili wangu ni hekalu yake

Hivyo nimetenda mabaya mengi

Naomba Bwana unisamehe 


3. Nimejitolea naenda kwake

Afanye analotaka nami

Nimetubu makosa yangu yote

Niwe safi kuliko theluji.


The Gospel Train, Kenya.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...