Habari Za Kuzaliwa Lyrics sung by Acacia Singers

Habari Za Kuzaliwa Lyrics sung by Acacia Singers

1. Habari za kuzaliwa kwake Bwana Yesu
Zilienea mjini Bethlehemu
[Ma-] Majusi toka mashariki walifika
Kuja kumuona Mwokozi wa dunia hii

Refrain
Waliiona nyota ya mashariki (ndipo)
Wakaondoka wote kwa furaha kuu
Walipofika kule Bethlehemu
Walimsujudia Yesu (wote)

2. Uwezo toka kwake Roho mtakatifu
Alizaliwa katika hori la ng'ombe
Imanueli yaani Mungu yu pamoja nasi
Tuziimbe sifa Mwokozi amezaliwa

3. Na Herode alipoupata ujumbe 
Kazaliwa mfalume wa Uyahudi
Alighadhabika ndipo kaua watoto
Wa kiume wote katika mji ule.

Acacia Singers, Tz.

Lu 1:14 And thou shalt have joy and gladness; and many shall rejoice at his birth.

1 Samuel 1:27–28 NIV "I prayed for this child, and the LORD has granted me what I asked of him. So now I give him to the LORD. For his whole life he will be given over to the LORD."

Psalm 8:1-2 NIV Lord, our Lord, how majestic is your name in all the earth! You have set your glory in the heavens. Through the praise of children and infants you have established a stronghold against your enemies, to silence the foe and the avenger.

Psalm 127:3 ESV Behold, children are a heritage from the Lord, the fruit of the womb a reward. Like arrows in the hand of a warrior are the children
of one’s youth. Blessed is the man who fills his quiver with them!

Yohana 3:16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee,
bali awe na uzima wa milele.

Comments

Popular posts from this blog

Tanzania Nakupenda Lyrics Sung by Acacia Singers, Tanzania

Damu Yake Lyrics sung by The Golden Gate Choir

Nyosha Mkono Wako Lyrics sung by Nyandema SDA Choir