Wednesday, 22 January 2025

Mtafuteni Bwana/Wajane Lyrics sung by Acacia Singers

Mtafuteni Bwana/Wajane Lyrics sung by Acacia Singers

Uuuh, Uuuh, Uuuh
1. Mtafuteni Bwana kwani anapatikana
Mwombeni wakati wote yeye yu karibu
Hujibu maombi kwa wote wamwitao
Ikiwa usiku mchana hata asubuhi
Ikiwa usiku mchana hata asubuhi

Refrain
Ooh Baba (Baba), Ooh Mungu wangu
Uwasikie wote waliao Nawe uwape usingizi
Ooh Yesu (Yesu), Ooh Mungu wetu
Wajane wote uwape amani
Uwarehemu na yatima 


Aaah, Aaah, Aaah, Aaah

2. Ni ahadi yake yeye aliyoitoa
Yeyote ajaye kwangu sitamtupa kamwe
Na wimbi la shida lijapokuandama
Muite Bwana Yesu useme naye kwa upole
Muite Bwana Yesu useme naye kwa upole

Acacia Singers, Tz.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...