Sunday, 5 January 2025

Namkaribisha Yesu Lyrics Sung by The Gospel Train

Namkaribisha Yesu Lyrics Sung by The Gospel Train

Refrain
Namkaribisha Yesu atawale ndani yangu
Dunia imechafuka, shida nyingi na majonzi
Najitoa kwake atawale ndani yangu
Hivyo ataniwezesha kuihama dunia hii

1. Nilikuwa mdogo sana kule tumboni mwa mama
Lakini akanilinda mpaka nilivyozaliwa
Wakati nikiwa mdogo akanilinda kanitunza
Maisha yake nimeipata namkaribisha Yesu (Huyu Yesu)

2. Nilikuwa mwovu sana mdanganyifu mwenye dhambi
Lakini kwa uwezo wake akanigeuza niwe mwema
Nikasikia sauti yake Yesu nikaitika
Nikapata utakatifu nimekaribisha Yesu (Huyu Yesu)

The Gospel Train, Kenya.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...