Asubuhi Kumepambazuka (Je Wamwita Bwana) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Asubuhi kumepambazuka, Je wamwita Bwana? Je wamwita Bwana?
Aongoze mapitoni mwako, Je wamwita Bwana? Mapitoni mwako?
Refrain
Mchana kutwa umehangaika, Umezunguka huku na kule
Na jioni ita nyumba yako, Kumshukuru Mungu, Kumshukuru Mungu.
2. Uamke usiku manane, Ongea na Bwana, Ongea na Bwana
Usichoke kutapambazuka, Yaliyo magumu atakushindia.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 25, Bedi Score, Bedi Lyrics