Thursday, 23 April 2026

Wahitaji Takaswa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Wahitaji Takaswa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Chorus

Wahitaji takaswa ubatizwe,

Ndani ya maji mengi, Uzamishe maovu,

Yabadilishe maisha yako, Ya zamani ondoa

Dhamani yako, Yashinda yote ya dunia.


Verse 1

Kama wahitaji pumziko, Moyoni mwako,

Umechoshwa na dunia

Kusongwasongwa na dhambi, Palipo heri huoni,

Wahangaika, Bwana yu kando yako.


Chorus

Wahitaji takaswa ubatizwe,

Ndani ya maji mengi, Uzamishe maovu,

Yabadilishe maisha yako, Ya zamani ondoa

Dhamani yako, Yashinda yote ya dunia.


Verse 2

Uoshwe dhambi kwa maji mengi, (Uwe salama moyoni)

Roho wa Mungu aingie ndani yako, (Ndani yako ubadilishwe)

1-? Uwe heri ndugu atawale, (Uwe heri ndugu)

Ndani yako, (Uongozwe naye).


Chorus

Wahitaji takaswa ubatizwe,

Ndani ya maji mengi, Uzamishe maovu,

Yabadilishe maisha yako, Ya zamani ondoa

Dhamani yako, Yashinda yote ya dunia


Outro

Kwa maji na roho, Ubadilishwe kabisa

Kwa maji na roho, Ubadilishwe kabisa

Ndani yako, Ubadilishwe kabisa.


For Revision: Verse 2, Line 3; -? Uwe heri ndugu atawale, (Uwe heri ndugu)


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Vol 25, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...