Thursday, 23 April 2026

Nira ya Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nira ya Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nira ya Bwana ni laini, Njooni nyote msumbukao

Fungueni mioyo yenu, Mjitwishe nira ya Bwana

Nira ya Bwana ni laini, Fungueni mioyo yenu

Naye atawaweka huru, Rahani mwake.


Refrain

Unahangaika bure, Dunia yakurusharusha

Bwana akuita ndugu, Upumzike.

Unahangaika bure, Dunia yakurusharusha

Bwana akuita ndugu, Upumzike.


Yeye ajaye sitamtupa, Ataiona raha milele

Yeye ajaye sitamtupa, Atavikwa vazi vazi la kifalme.


2. Bisheni mtafunguliwa, Ombeni nanyi mtapewa

Malango ya mbingu ni wazi, Ni kwa ajili yenu nyote

Sauti yake ya upole, Mtwishe msalaba wako

Naye atawaweka huru, Rahani wake.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 25, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...