Thursday, 30 April 2026

Bwana Naomba Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Bwana Naomba Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Bwana naomba uniongeze imani

Ili niweze kukudhihirisha kote (Kote)

Watu wote waweze kukuona Bwana

Na waamini unayotenda

Na waamini unayotenda


Refrain

Naomba imani ilo imara

Watu wote wakuone Yesu

Imani isiyotetereka

Niwahubiri watu wengine


2. Tumeokolewa kwa njia ya imani

Wala si kwa matendo yetu ndugu zetu (Zetu)

Ameturuhumia sana Mungu wetu

Upendo wake na neema yake

Upendo wake na neema yake.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 32Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...