Thursday, 23 April 2026

Hapo Kale Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group

Hapo Kale Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group


1. Hapo kale nilipotea mimi,

Sikujua habari za msalaba

Akashuka Yesu Mwokozi wangu,

Kanivuta karibu naye


Refrain

Sina mashaka nikiwa na Yesu,

Kwani najua niko salama

Japo pepo tufani zivume,

Najua kwake ni salama


2. Ya dunia siyatamani tena,

Kwani hayo yote ni ya kitambo

Heri niwe wake Mwokozi wangu,

Aanipaye uzima bure


3. Maisha haya ni magumu kweli

Heri nawe umkubali Mwokozi

Awe Mwana naye Mwokozi wako

Akuokoe utumwani.


Ulanda Girls SDA Group.


Ulanda Girls SDA Group, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...