Thursday, 23 April 2026

Kweli Nikodemu Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group

Kweli Nikodemu Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group


1 Kweli Nikodemu alikuja kwa Yesu usiku

Akamuuliza habari ya ukombozi

Nifanye nini ili niweze kupata wokovu

Bwana kamjibu, “Amini ubatizwe.”


Refrain

“Amini! Ninakwambia

‘Sipozaliwa mara ya pili

Hauwezi kuona ufalme wa Mungu,”

Ndivyo Yesu alivyojibu


2 Nikodemo ndugu alihangaika

Akifikiria wokovu wapita

Ikabidi ndugu amfuate Mwokozi

Yesu akamjibu, “Amini ubatizwe.”


Ulanda Girls SDA Group.


Ulanda Girls SDA Group, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...