Je Waishi Kwa Kanuni Za Ndoa Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Je waishi kwa kanuni za ndoa?
Kama ilivyo agizo la Mungu
Ndoa yako inamtengeza Yesu,
Au ina sura gani? (Mwenzangu)
Refrain
Ni kwa nini leo ndoa ni mzigo?
Zimejawa majuto na kilio?
Wameziacha kanuni za ndoa
Ndoa yatangaza pendo la Mungu
2. Twaziomba familia za leo
Mzingatie kanuni za ndoa
Msaidiane kwa kila jambo
Nyumba itabarikiwa (E wewe).
Recitations in the closing phase (Chorus) of this song are punctuated by vibrant ululations & whistles that make celebration of what mood marriage should have.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 32, Bedi Score, Bedi Lyrics