Friday, 24 April 2026

Katika Kitabu Kile Lyrics Sung by LCMM

Katika Kitabu Kile Lyrics Sung by LCMM


Chorus I

Katika kitabu kile,

Chenye washindi, (Waloshinda)

Je jina langu,

Litakuwepo au litakosa?


Verse I

Nimejificha miaka mingi,

Kwa binadamu si kwa Mungu 

Itapofika siku hiyo,

Je jina langu litakuwepo?


Chorus I

Katika kitabu kile,

Chenye washindi, (Waloshinda)

Je jina langu,

Litakuwepo au litakosa?


Chorus II

Itakuwaje? Itakuwaje?

Sijui itakuwaje? Ndugu yangu

Kila wazo liwazalo

Kila tendo litendalo

Yatakapofunuliwa


Verse II

Tabia zangu vugu vugu

Si baridi wala si moto 

Itapofika siku hiyo

Je jina langu litakuwepo?


Chorus I

Katika kitabu kile,

Chenye washindi, (Waloshinda)

Je jina langu,

Litakuwepo au litakosa?


Chorus II

Itakuwaje? Itakuwaje?

Sijui itakuwaje? Ndugu yangu

Kila wazo liwazalo

Kila tendo litendalo

Yatakapofunuliwa


Last Call Ministers Ministry.


LCMM, LCMM Vol 1, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...