Yesu Kristo Uwe Wangu Lyrics sung by Ulanda Girls SDA Group
Verse
Yesu Kristo (Yesu Kristo) nikufanye (Nikufanye)
Uwe wangu wa kwanza kwa kila jambo
Niwazayo (Niwazalo) siku zangu zote uwe wa kwanza
Verse
Siri za moyo (Siri za moyo) wangu wajua (Wangu wajua)
Niyawezayo Bwana wayatambua
Iwe mchana (Iwe mchana) au usiku (Au usiku)
Nitakuficha nini Mwokozi wangu.
Ulanda Girls SDA Group.
Ulanda Girls SDA Group, Bedi Score, Bedi Lyrics