Kuna Sauti Yabisha (Fungua Mlango) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kuna sauti yabisha kwangu
Ni nani anayebisha hodi kwangu?
‘Ni mimi Yesu nataka nikae kwako,
Nina jambo jema kwako’
Refrain
'Fungua (Fungua) mlango, Nabisha
Nina jambo jema kwako
Nina maji ya uzima kwako,
Fungua mlango, Mlango wa moyo wako'
2. ‘Kwangu kuna maji ya uzima,
Yatolewa bure kwa yule ajaye
Yeye anywaye hataona kiu tena
Njooni nyote munywe bure.’
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 33, Bedi Score, Bedi Lyrics