Thursday, 30 April 2026

Tarumbeta Itakapolia (Tukifika Juu Mbinguni) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Tarumbeta Itakapolia (Tukifika Juu Mbinguni) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Tarumbeta itakapolia kuamsha waliolala

Kuungana na watakatifu waloshinda vita

Watapaa juu angani kutoka kila pembe

Wameshinda mauti dunia kwaheri


Refrain

Tukifika mbinguni shangwe vigelegele

Sote tutapaa angani

Tutapaa mjini Jerusalemi

Ni furaha shangilia dunia kwaheri


2. Tarumbeta itakapolia pambazuko lenye heri

Jeshi la mbinguni litashuka Yesu aongoza

Subiri uione karamu ya mfalme 

Kutoka kila pembe watakuwa pale.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 32, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...