Saturday, 25 April 2026

Tunasubiri Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Tunasubiri Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Pre-Chorus

Tunasubiri; Bwana

Tunasubiri; Bwana

Je wasubiri?

Tunamsubiri Bwana


1. Msifadhaike mioyoni mwenu

Mkimwamini Mungu niamini nami

Nyumbani mwa Baba kuna makao

Naenda kuandaa


Chorus

Ahadi yake Bwana ni ya kweli,

Kwamba atarudi atuchukue

Tukaishi naye milele zote,

Tutasahau ya dunia


2. Waliokata tamaa ndugu,

Na kuchoshwachoshwa na misukosuko

Na shida za dunia ya dhambi,

Yesu ndiye jibu


Chorus

Ahadi yake Bwana ni ya kweli,

Kwamba atarudi atuchukue

Tukaishi naye milele zote,

Tutasahau ya dunia


Pre-Chorus

Tunasubiri; Bwana

Tunasubiri; Bwana

Je wasubiri?

Tunamsubiri Bwana



Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 32, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...