Hakuna Jina Tulilopewa Lyrics sung by Sisters of Christ
Pre-Verse
Hakuna jina aah tulilopewa
Hakuna jina tulilopewa
Hakuna jina aah tulilopewa
Hakuna jina aah tulilopewa
Verse
Hakuna jina jingine tulilopewa katika dunia hili
Jina la Yesu ndilo wokovu wetu katika dunia hili
Hakuna jina jingine tulilopewa katika dunia hili
Jina la Yesu ndilo wokovu wetu katika dunia hili
Refrain
Tuimbe tukilisifu jina hili jina lake Mkombozi
Tutapata nguvu za kushinda dhambi tukiwa naye Yesu
Tuimbe tukilisifu jina hili jina lake Mkombozi
Tutapata nguvu za kushinda dhambi tukiwa naye Yesu
Verse
Tutapata ushindi kwa jina gani? Ni jina lake pekee,
Alituahidi kwamba atarudi, kutuchukua kwake
Tutapata ushindi kwa jina gani? Ni jina lake pekee,
Alituahidi kwamba atarudi, kutuchukua kwake.
Sisters Of Christ.
Sisters Of Christ, SDA Swahili Songs, Bedi Score, Bedi Lyrics