Wednesday, 6 May 2026

Umemdharau Mungu Wako Lyrics sung by Sisters of Christ

Umemdharau Mungu Wako Lyrics sung by Sisters of Christ


1. [Umemdharau Mungu wako kiasi gani?

Nakusihi njoo kwangu nikupe pumziko] ×7


Refrain

(Ooh) Bwana kaa nami siku zote,

Nipitapo milima na mabonde

Bwana kaa nami siku zote,

Nipitapo -ooh- gizani


2. [Ndugu wapotea kwa mapambo duniani

Yavutayo tena yapitayo haraka] ×7


Sisters Of Christ.


Sisters Of Christ, SDA Swahili Songs, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...