Ikiwa Ni Mshindi (Taji la Johari) Lyrics sung by Messengers
1. Ikiwa ni mshindi (Mshindi) nitamuona Yesu (Oh Yesu)
Taji nitakayovikwa (Vikwa), Taji na Johari
Ikiwa ni mshindi (Mshindi) nitamuona Yesu (Oh Yesu)
Taji nitakayovikwa (Vikwa), Taji na Johari
Refrain
Na wewe mwenzangu kazana
Uwe katika lile kundi, Litakalovikwa na Yesu
Taji la johari (Johari)
Usitamanie dunia, Hayo ni ya muda kitambo
Yafikirie ya mbinguni, Uwe ni mshindi (Mshindi)
2. Mimi huyu natamani (Tamani) kumuona Yesu (Oh Yesu)
Akija kwa Fahari (Tamani) nao Malaika
Mimi huyu natamani (Tamani) kumuona Yesu (Oh Yesu)
Akija kwa fahari (Tamani) nao Malaika
3. Mbingu nazo zitakunjwa (Kunjwa) kama ukurasa (Kurasa)
Nchi itatemeka (Tetemeka) kwa kumuona Yesu
Mbingu nazo zitakunjwa (Kunjwa) kama ukurasa (Kurasa)
Nchi itatemeka (Tetemeka) kwa kumuona Yesu.
Note
There's is Taji na Johari and Taji la Johari. Zote ambazo zimetumika kwenye Stanza 1, na kwenye Koras.
Also there are animations added throughout the song. Kuna pambio kote as the song goes along.
Messengers
Messengers, Simba Wa Yuda Vol 3, Bedi Score, Bedi Lyrics