Friday, 1 May 2026

Najitahidi Kila Siku Lyrics sung by Messengers

Najitahidi Kila Siku Lyrics sung by Messengers


1 Najitahidi kila siku,

Kutenda mapenzi ya Bwana (Ooh)

Bali najikuta kila siku naanguka (Ninarushwa)

Ninarushwa rushwa na dunia sistahili


1-II

-? kama mtini usiozaa tunda jema

Machoni pa Bwana

Nimekuwa mwenye dhambi (Sistahili)

Nimeupoteza utu wangu wa zamani


Chorus

Dhambi zangu zimenilemeaa,

Kimbilio langu ni Kalwari (Ooh)

Hapo nitamwona Bwana wangu msalabani (Ninajua)

Nitapata nguvu damu yake yanitosha


2. Najisalimisha kwa Yesu,

Mbinguni pake ni salama (Ooh)

Sitarudi nyuma sitachoka siku zote (Sitachoka)

Pepo zitavuma nitasimama imara


2-II

Chukua vyote nipe Yesu,

Yeye pekee anitosha

Sitarudi nyuma sitachoka siku zote (Sitachoka)

Nitajipa moyo safarini Yesu yupo


For Revision: 1-II; -? -? kama mtini usiozaa tunda jema (Can't get the correct wording)


Messengers


Messengers, Simba Wa Yuda Vol 3, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...