Kuja Kwa Bwana Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kuja kwa Bwana, Arudipo mara ya pili
Eeh ndugu u tayari? Tayari kumpokea mawinguni
Ajapo tena, Jeshi lote la Malaika
Litashuka angani, Angani kuchukua wateule.
1-II
Walioteseka wakiri, Kwa utukufu wake Bwana
Wakivaa kutoharibika, Milele furaha tele.
Chorus
Heri kuteseka pamoja na Yesu,
Ajuaye mambo ya kesho
Faraja na amani, Vyapatikana kwake
Mambo mazuri, Yanatungojea huko mbinguni.
2. Wakati bado, (-?Je) Kuamsha waliolala
Tuone uso wako, Tuone makovu ya msalaba
Ulivyomchomwa, Ubavuni kutukomboa
Kuleta ondoleo la dhambi, Pendo lako laokoa.
2-II
Tumekombolewa dhambini, Tuvikwe utu upya tena
Tufananishwe mfano wake, Ilivyokuwa zamani.
For Revision: Stanza 2, Line 1; Recheck other recording. Wakati bado, (-?Je) Kuamsha waliolala
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 24, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics