Friday, 1 May 2026

Nilipotanga Mbali Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nilipotanga Mbali Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nilipotanga mbali, Kwenye giza la dhambi

Sikuwa na tumaini la kuokolewa

Nilizama dhambini, Bila matumaini

Ni Yesu aliyeniokoa.


Refrain

Ameniweka huru (Kutoka) utumwani

Waweza okolewa uwe huru,

Kwa damu ya thamani,

Utakaswe kabisa moyoni

Zitakuwa nyeupe kama theluji.


2. Utakasike upya, Upate tumaini

Utembee nuruni yeye aweza yote

Angali yu karibu, Fungua moyo wako

Mwamba imara ni Yesu Kristo.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 24, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...