Kuna Jambo Sitaki Kusikia (Jambo Moja) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Kuna jambo sitaki kusikia masikioni mwangu
Jambo gani?
Kwamba Shetani ameinuka
Sema tena,
Katikati ya wana wa Mungu
Tuambie,
Kuna shirika gani kati ya nuru na giza?
Haiwezekani kamwe,
Kuna shirika gani kati ya nuru na giza?
Haiwezekani kamwe.
Chorus
Jambo moja lanipa faraja
Sema, (Hakika)
Kwa jina lake mapepo yakimbia (Kimbia)
Ni mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu)
Shetani hana mamlaka tena (tena + hakika)
Kwa watoto wa Jehova
Anausubiri moto wa milele (Milele)
Siku hiyo inakuja.
2. Kuna jambo moja nataka kusikia masikioni mwangu
Jambo gani?
Kwamba Yesu anainuliwa
Sema tena,
Katikati ya wana wa Mungu
Tuambie,
Kuna shirika gani kati ya nuru na giza?
Haiwezekani kamwe,
Kuna shirika gani kati ya nuru na giza?
Haiwezekani kamwe.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 30, Bedi Score, Bedi Lyrics