Miguu Yangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Humming (Uuuhhuu...Uuhhuu)
1. Miguu yangu, Bado ina nguvu
Mikono yangu, Bado ina nguvu
Akili yangu, Inapambanua
Na macho yangu, Bado yanaona.
Humming (Uuuhhuu...Uuhhuu)
Bridge; Oratorio with Hums as above
Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako
Kabla hazijaja siku zilizo mbaya
Wala haijakaribia miaka utakaposema,
"Mimi sina furaha katika hayo."
2. Sina sababu, Ya kutovuka ng'ambo
Kuitangaza, Injili ya Bwana
Sioni haya, Kuitwa mwana wake
Anasumbuka, Kwa ajili yangu.
Notes: Refer recording for humming phasing and structure.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 24, Bedi Score, Bedi Lyrics