Friday, 1 May 2026

Wawili Wawili Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Wawili Wawili Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Wawili wawili Mungu aliviumba viumbe vyake vyote

Akaona ni vyema kwa utukufu wake

Katika safina Nuhu aliwaita wawili wawili waje

Kwa agizo la Mungu kwa utukufu wake.


Refrain

Wawili wawili (Wawili) Mungu aliumba,

Katika shida katika raha,

Wawili wawili ndoa iheshimiwe,

Na watu wote.


2. Wawili wawili msiachane kamwe ni agizo la Mungu

Dumuni siku zote katika pendo lake

Wakati wa shida Bwana yuko karibu kulinda nyumba yenu

Dumuni siku zote katika pendo lake.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 24, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...