Friday, 1 May 2026

Nimeona Nikimbilie Kwako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nimeona Nikimbilie Kwako Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Nimeona nikimbilie kwako Bwana,

Nipate msaada wako Bwana

Nimesongwa na majaribu njia zote,

Nishike mkono uniongoze.


Refrain

Safari imezidi kuwa ngumu kwangu,

Wewe ndiwe tumaini langu

Usinifiche uso wako niitapo

U tayari kuniokoa,

Bwana nakuhitaji, Kwangu.


2. Pekee yangu sitaweza kuvuka ng'ambo,

Njia ya injili ni ya shida

Pamoja na wewe nitakwenda popote,

Nishike mkono uniongoze.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 24, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...