Monday, 11 May 2026

Niambie e Mlinzi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Niambie e Mlinzi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Niambie e mlinzi, habari gani?

Kwa muda mrefu, tumesafiri

Kwa muda kitambo, tumetembea

Utukufu wa Zayuni, hatujaona

Niambie, mlinzi mwendo wa zayuni?


Refrain

Usihuzunike tena mwendo waisha,

Dunia inapita haraka,

Utukufu wa Zayuni utaonekana,

Mapambazuko karibu ingia Zayuni.


2. Nasikia umepambwa, kwa ajili yangu

Nipate pumziko, baada ya dhiki

Nipate pumziko, kwa raha yangu

Maisha haya ya vifo, yamenichosha

Wito wa Zayuni, ni kwa ajili yangu.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...