Monday, 11 May 2026

Sauti Yangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Sauti Yangu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Sauti yangu bado ina nguvu, Naweza kutangaza injili

Najua wakati itafika, sitaweza imba tena.


Refrain

Najua wakati utapofika, Nitanyamaza kimya

Sauti yangu itatoweka, Nitaporudi mavumbini

Nitawezaje kunyamaza kimya? Sauti yangu bado ina nguvu.


2. Miaka yangu ni ya kukopeshwa, Naishi kwa rehema za Bwana

Hakuna jema nililotenda, Kushinda waliolala.


3. Sioni sababu ya kukaa kimya, Jeshi la Bwana liko vitani

Nitafichaje talanta yangu? Nitaulizwa na Bwana.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...