Monday, 11 May 2026

Najuta Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Najuta Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


1. Najuta, Najuta

Nikiwaza ya kale, najuta

Kwa kupoteza wakati, Kwa kupenda dunia

Yalikuwa ya kale, najuta


Kwa kupoteza wakati, Kwa kupenda dunia

Yalikuwa ya kale, najuta.


Refrain

Pasipo Yesu kunitafuta,

Kwa kifo cha aibu

Ni nani, angebeba dhamana?

Ya kutoa maisha, juu yangu.


2. Mwokozi, Mwokozi

Ulitoa uhai, juu yangu 

Ukalipa deni langu, Na kutoa aibu yangu

Ukaniweka huru milele


Ukalipa deni langu, Na kutoa aibu yangu

Ukaniweka huru milele.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...