Monday, 11 May 2026

Wanadamu Wanatafuta Maisha Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir

Wanadamu Wanatafuta Maisha Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir


1. Wanadamu wanatafuta maisha, Lakini hawadumu (Hawadumu)

Siku zao zimekwisha hesabiwa, Katika ulimwengu huu leo

Leo watachanua kama maua, Na kesho wanyauka (Wapotea)

Siku zao zimekwisha hesabiwa, Katika ulimwengu huu.


Refrain

(Yote) Yote yamejificha, Nani ajuaye kama kesho atakuwepo?

Siku zetu si nyingi, Tafuta ufalme wa Mungu kwanza.


2. Jiulize je ni kwa kiasi gani, Umeshakwenda mbali (Wapotea)

Kwa kumbatia mambo ya dunia, Haya yanayotokea

Yatapita haya yote yatapita, Na tutayasahau (Yanapita)

Tumaini weka kwenye nchi mpya, Yesu anaporejea.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir, Kurasini Classics, Kurasini Vol 29, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...