Acheni Kristo Aitwe Kristo Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir
1. Acheni Kristo, aitwe Kristo; Ni mfalme,
Yule wa zamani, Kristo wa leo hii; Ni Mfalme,
Kristo wa Msalaba, Ndiye yule ajaye
Kwa kweli; atatikisa dunia yote (dunia yote).
Refrain
Ni Kristo yule wa zamani,
Ni Kristo wa Msalaba
Ajaye tutamuona.
2. Muda si mwingi, atarejea; Yuaja
Shika ulichonacho, Ni wakati wa taabu; Mwenzangu
Yote yalonenwa, Sasa yametimia
Kwa kweli; sasa yatosha urudi kwake (urudi kwake).
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics