Bwana Ujishihirishe (Bwana Harusi Bi Harusi) Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir
1. Bwana ujishihirishe, Shuka utubariki
Kama ulivyoahidi, Shuka utubariki
Bwana harusi bi harusi, Wape kulena leo?
hata ndoa za zamani, Zote uzibariki.
Refrain
Ndoa si yako Bwana harusi,
Wala si yako bibi harusi
Ndoa ni yenu wote,
Mkiunganishwa na pendo la Mungu
(Na pendo la Mungu).
2. Yote ni mapenzi yako, Wape maisha mema
Wasipungukiwe kitu, Katika nyumba yao
Wakiwa katika shida, Jidhihirishe kwao
Uwe mwanzo, Uwe mwisho
Kwenye shida, na raha.
For Revision
1.3; Bwana harusi bi harusi, Wapekuleana leo?; Wape kule na leo?; Wakupeana leo
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics