Saturday, 13 June 2026

Anakuja Mwanaseremala Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir

Anakuja Mwanaseremala Lyrics Sung by Kurasini SDA Choir

Pre-Verse: Ooo-ooooooh

1. Anakuja mwanaseremala, Mkombozi wa dunia

Wale wote waliomchoma, Watamwona akishuka

Anakuja mwanaseremala, Mkombozi wa dunia

Wale wote waliomchoma, Watamwona akishuka

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha.

Refrain

Haleluya! -? Yesu yuaja, Kila jicho litamuona (‘tamuona)

Haleluya! Atakuja kwa -?, Mwana seremala akija.

2. Wateule watashangilia, Wakimwona akishuka

Wenye dhambi nao watajificha, Wasimuone uso wake

Wateule watashangilia, Wakimwona akishuka

Wenye dhambi nao watajificha, Wasimuone uso wake

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha.

3. Utakuwa wapi e mwenzangu, Kipenzi Yesu akija

Akishuka nao utukufu, Sio seremala tena

Utakuwa wapi e mwenzangu, Kipenzi Yesu akija

Akishuka nao utukufu, Sio seremala tena

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha

Hapo ndipo watapolia, Ni siku ya kutisha.

For Revision

R1: Haleluya! -? Yesu yuaja, Kila jicho litamuona (‘tamuona)

R2: Haleluya! Atakuja kwa -?, Mwana seremala akija.

Kurasini SDA Choir.

Kurasini SDA Choir Assorted, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Njooni Kwangu Nyote Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Njooni Kwangu Nyote Lyrics sung by Kurasini SDA Choir 1. Njooni kwangu nyote mnaosumbuka, Nyinyi wenye kulemewa na mizigo Jitieni nira, mji...