Nipo Bwana Nitume Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Nipo Bwana nitume, nitayari Kwenda
Ila mbele yangu, kuna vikwazo vingi.
Refrain
Ukuta huu, Bwana ubomoe
Na kwa mapenzi yako, niweze kupita
Ukuta huu Bwana, mpaka lini,
Utatuweka huru, Njia iwe wazi?
2. Sina uwezo Bwana, juu ya ukuta huu
Umenizuia, nisiweze kuvuka.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics