Sunday, 14 June 2026

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Pre-Chorus

Usiku wa manane, kelele zikasika,

Amini; Usiku wa manane, kelele zikasika.


Refrain

Habari za wanawali kumi,

Watano walijawa busara

Watano ni wale wapumbavu,

Je, unapata fundisho gani?

Je, wajiweka tayari?


1. Safari yetu ya kwenda Mbinguni,

Usiku umeendelea

Wengine wamelala usingizi

Mwokozi yuko mlangoni.


Amkeni enyi wana wa nuru

Vaeni silaha za vita

Yuaja, alivyo ahidi

Aja kama mwivu, Yu mlangoni.


2. Shetani na wala hana lolote

Hukumu yake imekwisha

Bendera ya Yesu inapepea

Ingia makao ya raha.


Amkeni enyi wana wa nuru

Vaeni silaha za vita,

Yuaja alivyoahidi,

Aja kama mwivu, Yu mlangoni.


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir Pre-Chorus Usiku wa manane , kelele zikasika, Amini; Usiku wa manane, kelele zikasika. Ref...