Najivunia Yesu Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
2. Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Chini ya mbawa zake tufani ijapovuma;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Ni rafiki wa kweli ajuaye shida zangu;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Najivunia Yesu shujaa Simba wa Yuda;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
-----Simba wa Yuda----
3. Marafiki; wakati wa zamani sikutambua
Sababu nilikuwa gizani
Leo nina sababu ya kutamka,
-------Yesu------Yesu----
Amenipa uwezo.
Marafiki; wakati wa zamani sikutambua
Sababu nilikuwa gizani
Leo nina sababu ya kutamka,
-------Yesu------Yesu----
Amenipa uwezo.
4. Wakati wa zamani nilikua kwenye giza;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Yesu akaniita kwa sauti ya upole;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Akanipa ahadi tumaini la uzima;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
Najivunia Yesu shujaa Simba wa Yuda;
Najivunia Yesu mwenye kunipa uwezo.
-----Simba wa Yuda----
5. Aah mwenzangu; wakati wa zamani sikutambua
Sababu nilikuwa gizani
Aah; Leo nina sababu ya kutamka,
-------Yesu------Yesu----
Amenipa uwezo.
Aah mwenzangu; wakati wa zamani sikutambua
Sababu nilikuwa gizani
Leo nina sababu ya kutamka,
-------Yesu------Yesu----
Amenipa uwezo.
6. Simba wa Yuda; Amenipa uwezo
Simba wa Yuda; Amenipa uwezo
Yesu wangu, Yesu wangu; Amenipa uwezo.
Yesu wangu, Yesu wako; Amenipa uwezo.
Yesu, Yesu wangu; Amenipa uwezo.
Yesu, Yesu wangu; Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wako); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wako, Yesu wetu); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wetu); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wetu); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wetu); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wetu); Amenipa uwezo.
Ooh Yesu; (Yesu wangu, Yesu wangu); Amenipa uwezo.

For Revision
Organisation of section, or act 6.
NOTES
I haven’t applied accuracy in the last act (Section six) when organizing this part. Borrow the freedom from the background secondary voices as sung in the particular recording. Thanks.
Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics