Kama Mungu Aishivyo Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
Refrain
Kama Mungu aishivyo, nitamuihimidi
Sitaikana imani, nitasonga mbele
Japo kuwa ni gharama, ni gharama,
Kamwe sitamuacha Yesu, Mkombozi wangu
Kamwe sitamuacha Yesu, Mkombozi wangu.
1. Mara nyingi nimezama, katika mawazo; uuh-uuh
Nikifikiria sana, nchi hayo ya Mbingu
Na mara nikifikia kukata tamaa
Nikumbukapo Msalaba napata nguvu.
Refrain
Kama Mungu aishivyo, nitamuihimidi
Sitaikana imani, nitasonga mbele
Japo kuwa ni gharama, ni gharama,
Kamwe sitamuacha Yesu, Mkombozi wangu
Kamwe sitamuacha Yesu, Mkombozi wangu.
2. Iinipasa kujua, sababu ya dhambi; uuh-uuh
Nikaelewa ya kuwa, Shetani ni chanzo
Kusudi lake baya tu, kuku-?ka mambo
Ndio ugomvi haraka, kati ya watu.
For Revision
2.3: Kusudi lake baya tu, kuku-?ka mambo; kukuduka-?
Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics