Msaada Wangu Utatoka Wapi Lyrics sung by Kurasini SDA Choir
1. Msaada wangu utatoka wapi?
Maadui wamenizunguka
Kila nikiwaza ninakosa nguvu,
Giza nene liko mbele yangu.
Refrain
Naja kwako Bwana, nisiyestahili
Naja kwako, niokoe Bwana.
2. Ni Yesu pekee, amebaki kwangu
Nikatapo tamaa, huja karibu
Masumbuko yangu, nayaweka kwake
Huondoa giza mbele yangu.
Kurasini SDA Choir.
Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, Bedi Score, Bedi Lyrics