Sunday, 14 June 2026

Njia Ya Kwenda Kalvari Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Njia Ya Kwenda Kalvari Lyrics sung by Kurasini SDA Choir


Refrain

Njia ya kwenda Kalvari,

Twaitazama kwa huzuni nyingi (oh huzuni nyingi)

Njia ya kwenda Kalvari,

Yesu hakuvaa viatu

Oh, Yote kwa ajili yetu,

Taji ya miba, alivaa kichwani

(Msalaba)/Msalaba begani kabeba,

Na mijeledi Yesu alipigwa (Yesu alipigwa).


1. Tafakari kisa cha Kalvari, utafakari

Yesu msalabani

Ali-? kifo cha aibu, hakusema neno,

Wanadamu leo wamdhiaki, Wanamkana Bwana

Ole, Ole inakuja

Wanadamu wataomboleza, wataomboleza.


2. Fuata njia, njia ya Kalvari, mfuate Yesu

Beba Msalaba,

Kwa gharama jiweke tayari

Ongoza Kalvari,

Jipe moyo Wokovu karibu (Wokovu karibu)

Yesu yu mlangoni

Fuata njia ya Kalvari,

Mfuate Yesu njia ya Kalvari, njia ya Kalvari.


For Revision

1.2: Ali-? kifo cha aibu, hakusema neno,


Kurasini SDA Choir.


Kurasini SDA Choir Assorted 2, Kurasini Classics, For Revision, Bedi Score, Bedi Lyrics

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Usiku Wa Manane Lyrics sung by Kurasini SDA Choir Pre-Chorus Usiku wa manane , kelele zikasika, Amini; Usiku wa manane, kelele zikasika. Ref...