Tuesday, 3 September 2024

Hupata Raha Nikiimba (Sitakusahau Mwenye Dhambi) Lyrics sung by The Golden Gate Choir

Hupata Raha Nikiimba (Sitakusahau Mwenye Dhambi) Lyrics sung by The Golden Gate Choir


Prelude: Hupata raha nikiimba...

1. Bwana nimekubali ahadi yako

Siwezi kuwacha njia ya Mungu

Ulituahidi hutotusahau

Wewe ndiwe Yesu Mwokozi wangu


Refrain

"Sitakusahau mwenye dhambi

Nitakupa nguvu kushinda shetani,"

"Sitakusahau mwenye dhambi

Nilikufa ndipo uokolewe"


2. Shukurani zangu hazitoshi kamwe 

Kwako wewe Yesu aliyekufa

Nimejitolea kuhubiri neno

Wengi waokoke waje kwa Yesu


3. Siku ambayo Yesu atarudi hapa

Shida zangu zote zitakomeshwa

Nitasimama karibu na Yesu

Anichukue nifike mbinguni.


The Golden Gate Choir.


The Golden Gate Choir, Mukalu Kaggwa Isaac, Bedi Score, Bedi Lyrics

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...