Tuesday, 3 September 2024

Kama Yusufu (Toroka Dhambi) Lyrics sung by Springs Of Hope

Kama Yusufu (Toroka Dhambi) Lyrics sung by Springs Of Hope


1. Kama Yusufu alikutana na dhambi akatoroka

[Mwenzangu] Toroka dhambi! Toroka! Toroka!

[Mwenzangu Ooh] Toroka dhambi! Toroka! Toroka!


Mtu aliyekuwa ameshauzwa

Alimcha Mungu akashinda majaribu

Mtu aliyekuwa ameshauzwa

Alimcha Mungu akashinda majaribu


Refrain

Uaminifu wako ndugu bora Mungu atazawadi

Toroka dhambi usi'shiriki bora Mungu atazawadi

Uaminifu wako ndugu bora Mungu atazawadi

Toroka dhambi usi'shiriki bora Mungu atazawadi


2. Lakini Daudi alikutana na dhambi akashiriki

[Daudi] Alijutia kwa dhambi alizotenda

[Daudi Ooh] Alijutia kwa dhambi alizotenda


Mtu aliyekuwa mfalme mkubwa alimwasi

Mungu kwa dhambi alizotenda

Mtu aliyekuwa mfalme mkubwa alimwasi

Mungu kwa dhambi alizotenda.


Hebrews 12:1 Wherefore seeing we also are compassed about with so great a cloud of witnesses, let us lay aside every weight, and the sin which doth so easily beset us, and let us run with patience the race that is set before us.


Springs Of Hope, Kenya


Springs Of Hope Kenya, Bedi Score, Bedi Lyrics

Nikitazama Dunia (Ukimwi) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir

Nikitazama Dunia ( Ukimwi ) Lyrics sung by Kurasini SDA Choir 1. Nikitazama dunia, Inaombolezayo waya waya Magonjwa yenye kutisha, Yanavyowa...