Sunday, 20 October 2024

Aliye Na Yesu Rohoni Lyrics sung by Nyandema SDA Choir

Aliye Na Yesu Rohoni Lyrics sung by Nyandema SDA Choir

1. Aliye Na Yesu rohoni

Ana bahati ya uzima wa milele

Kwa maana Yesu akirudi

Wataridhi ufalme ule wa Bwana


Refrain

Na sasa Yesu anaita Sauti ya upole

Asimama mlangoni We ndugu fungua

Ni nani aliyetayari Kumpokea Mwokozi?

Ili siku Bwana akirudi Wataingia naye rahani.


2. Heri ni wale wasafiri

Ambao wamegundua Yesu maishani

Watasafiri salama katika

Safari ingawa iwe ndefu


Nyandema SDA Choir.

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...