Friday, 1 November 2024

Napojitazama Lyrics sung by The Gospel Train

Napojitazama Lyrics sung by The Gospel Train

1. Napojitazama kweli mimi si wa Bwana

Napojichunguza maisha yangu si ya Kristo

Yesu chimba kichuguu tu yatoke maishani mwangu

Baba chimba hadi ndani utoe naye malkia


Refrain

Bwana wetu turehemu *Kwako sasa pa kimbilio

Magoti yetu tunapiga Mikono yetu twainua

Na macho[2. vichwa] vyetu twainamisha Uoga mwingi watujaa

Baba usipotushika Sote tutaanguka kwenye dhambi


3. Kichuguu tuu yetu ni giza kuu lake Shetani

Malkia wetu ni maovu yake Shetani

Ninajitolea sasa maisha yangu yawe kwako

Baba wetu turehemu tuite tena wana wako.


Outro

Baba usipotushika Sote tutaanguka kwenye dhambi


The Gospel Train, Kenya.


Most?

Kwako sasa pa kimbilio

Makosa pa kimbilio

Makosa sasa pa kimbilio

Kwako saa pa kimbilio

Twakosa pa kimbilio

Twakosa sasa pa kimbilio

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya

Wewe Ni Baba (Jenga Boma) Lyrics sung by Majaoni AY Kilifi, Kenya 1. Wewe ni Baba wa kinilinda We ndiye shina anipendaye Marafiki wataponia...